Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Sikuwahi post hata vidole walakucha kwenye uzi wowote humu... alafu aibu ndio sina kabisa mm 😆😆😆Dah mimi nikajua unaficha sura sababu ya aibu
Sikuwahi post hata vidole walakucha kwenye uzi wowote humu... alafu aibu ndio sina kabisa mm 😆😆😆Dah mimi nikajua unaficha sura sababu ya aibu
Unazionea aibu hadi kucha na vidole vyako 😳Sikuwahi post hata vidole walakucha kwenye uzi wowote humu... alafu aibu ndio sina kabisa mm 😆😆😆
kupost picha ni vybe ya mtu mwenyewe hizo pigo mm sina kabisa siku hizi.Unazionea aibu hadi kucha na vidole vyako 😳
Kwani hakuna waluguru warefu wanaotegemewa kubadilisha bulb zikiungua? 🤓🤓Futi 5 na nchi 10 unawezaje sema mm ni mluguru.
Jisikie upo lindoni mzeeNimeisha sana juu huko kha! kamati ya zengwe mekaa mnafanya yenu.Hamna tofauti na wazee wa jangwani nyie.
Mbona mada imenyooka kabisa hii jamaa yanguUnapindisha mada ww dah![]()
😆 😆 😆 😆 wana stool za kutosha mbona wanapanda vizuri taa ikiungua.Kwani hakuna waluguru warefu wanaotegemewa kubadilisha bulb zikiungua? 🤓🤓
Shangaz yako nae mfupiwaluguru wafupi sana alafu kwetu mfupi ni mm tu hakuna anayejua kabila langu humu..
Hili swala ni sawa na kubet vile
Kwa hiyo ushauri wako ni upi mzee?farouk karim amesha ipatent hiyo technology. Atanishtaki nikiiweza wazi
😆😆😆😆 najisikia nipo tandika.Jisikie upo lindoni mzee
Hata Juakali jr alisema hapo juu kuwa Super Villain ni mzee wa kuonewa hivyo sina pingamizi na kauli yake. Anatambulika na jamii nzima.Majirani zao wandengereko![]()
😆😆😆😆 sijakosea kabisa nyie wote watu wa pwani.Hili swala ni sawa na kubet vile
Mzee aibu ya nini Super Villain anaikwepa. Weka wazi.Dah mimi nikajua unaficha sura sababu ya aibu
Hata Juakali jr alisema hapo juu kuwa Super Villain ni mzee wa kuonewa hivyo sina pingamizi na kauli yake. Anatambulika na jamii nzima.




Tandika iko wapi?😆😆😆😆 najisikia nipo tandika.
MorogoroTandika iko wapi?
Hata Moro ni Pwani kasoro bahari tu😆😆😆😆 sijakosea kabisa nyie wote watu wa pwani.
Ungejua mm sio mnyonge kabisa 😆😆😆😆 wala usingesema.Hata Juakali jr alisema hapo juu kuwa Super Villain ni mzee wa kuonewa hivyo sina pingamizi na kauli yake. Anatambulika na jamii nzima.