Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Aisee umenifanya ni google chapu hilo neno hapa na nikajua maana yake sasa nisingeweza jibu kabisa.Niko Bien sana
Aisee umenifanya ni google chapu hilo neno hapa na nikajua maana yake sasa nisingeweza jibu kabisa.Niko Bien sana
Uzuri mdogo wako Super Villain huwa anafuata ile falsafa ya "boss hanuniwi"Basi poa...mengine yaendelee....
Maana mdogo/kaka yangu Super Villain aliwaka sana...nikajua ushosti umekufa
Ooiiii acha hizo....juzi ukanuna mwenyewe....ukapita chini ya kapeti....Jana ukawaka...leo naona uko pisiAisee umenifanya ni google chapu hilo neno hapa na nikajua maana yake sasa nisingeweza jibu kabisa.
Anza wewe kwanza...tujifunze kutoka kwakoTumebaki wachache kuna mchezo tucheze.
upi huo?Tumebaki wachache kuna mchezo tucheze.
Nimekubali Boss!!!Uzuri mdogo wako Super Villain huwa anafuata ile falsafa ya "boss hanuniwi"
Duh!Basi poa...mengine yaendelee....
Maana mdogo/kaka yangu Super Villain aliwaka sana...nikajua ushosti umekufa
12:47
Marahaba mdogo wangu.Nawasalimia walinzi
Kweli nime google alafu wwumefupisha hapo sasa ni 'BIENVENUE' Kuna kazi nilikuwa na fanya ndio maana nikapita kama kimvuli. hata leo naona nimeiweka pause saiz nitaifanya kesho.Ooiiii acha hizo....juzi ukanuna mwenyewe....ukapita chini ya kapeti....Jana ukawaka...leo naona uko pisi
Nimekuona mama..mzima wewe lakini12:47
Nilikuwepo
Rowin upo nakuonaMarahaba mdogo wangu.
Umeshindaje?
Cha muhimu umeelewa....Kweli nime google alafu wwumefupisha hapo sasa ni 'BIENVENUE' Kuna kazi nilikuwa na fanya ndio maana nikapita kama kimvuli. hata leo naona nimeiweka pause saiz nitaifanya kesho.
Uko Vyedi ww?Nawasalimia walinzi