Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,398
Don Meon_I will sing[emoji441][emoji443][emoji444]
Kalale0500
Afadhali [emoji23]Kalale
Me napita tuAfadhali [emoji23]
Unipokee
Match ndiyo inataka kuanza
I see. Sijui nimewaza nini yaani. Mawazo yamenipeleka hata sipajua.Match ndiyo inataka kuanza
🏃😂I see. Sijui nimewaza nini yaani. Mawazo yamenipeleka hata sipajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakimbia wakati ushaharibu hali ya hewa [emoji23][emoji23][emoji125][emoji23]
Ahh kwa hiyo umeitumia hiyo issue kunisema vibaya yaani mimi na Super Villain tupo kwenye balehe kweli. Wewe najua wapi ntakudaka haina shida 😊Tulia wewe mzee. Unalala sana siku hizi 😀😀
Ahh kwa hiyo umeitumia hiyo issue kunisema vibaya yaani mimi na Super Villain tupo kwenye balehe kweli. Wewe najua wapi ntakudaka haina shida 😊