Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kausha baba ni Mkoa wa pwani. 😆 😆 😆Wacha kunizingua, sema Wilaya hiyo iko wapi? Mkoa wa Pwani naujua na hata Wilaya zake.
Kausha baba ni Mkoa wa pwani. 😆 😆 😆Wacha kunizingua, sema Wilaya hiyo iko wapi? Mkoa wa Pwani naujua na hata Wilaya zake.
😂😂 huyu jamaa Stephen Chelu alinichekesha sana. Eti aliota anawasha generator lakini anasikia utamu. Kuja kushtuka wazungu kama wote. Kwa kweli sikupata connection ya generator na ndoto nyevu 😀😀😀.Wet Dreams nimemuachia mwenyewe Stephen Chelu
Ulitaka kunipeleka chaka sio. Utanipa tabu sana we jamaa.Kausha baba ni Mkoa wa pwani. 😆 😆 😆
Huyu mwana ni miyeyusho kinoma..😂😂 huyu jamaa Stephen Chelu alinichekesha sana. Eti aliota anawasha generator lakini anasikia utamu. Kuja kushtuka wazungu kama wote. Kwa kweli sikupata connection ya generator na ndoto nyevu 😀😀😀.
Nimekosea mzee ww unakazi ya kunikomalia tu kama nina Figo yako.Ulitaka kunipeleka chaka sio. Utanipa tabu sana we jamaa.
Duh, hapo kiukweli aliniacha nabung'aa nisijue pa kwenda. Ila mwisho wa siku nikasema fresh tu watu wanatofautiana.Huyu mwana ni miyeyusho kinoma..
😆 😆 😆 😆 😆 kawatengenezea kipindi mmejaa.Duh, hapo kiukweli aliniacha nabung'aa nisijue pa kwenda. Ila mwisho wa siku nikasema fresh tu watu wanatofautiana.
Ukikosea unakubali mara moja sio kuzunguka mbuyu. Umenipata tabu sana hadi nimetafuta ramani ya TZ kwenye Atlas hapa 😂😂😂Nimekosea mzee ww unakazi ya kunikomalia tu kama nina Figo yako.
Asante...uko poa?Karibu sana Rowin
😆 😆 😆 😆 ulikuwa ushakubali ww mpaka umetafuta Atlas.Ukikosea unakubali mara moja sio kuzunguka mbuyu. Umenipata tabu sana hadi nimetafuta Atlas ya Tz 😂😂😂
Naogopoa kuuziwa kesi...maana ...Daah!!!!Rowin naona una sneak, Uko poa ww?
Kesi gani tena hiyo embu nyosha maelezo shosti!...Naogopoa kuuziwa kesi...maana ...Daah!!!!
Sijakubali maana ndoto nyevu huambatana na mtoto mrembo. Sasa generator ambalo ni bati na vyuma kwa kweli inapaswa Stephen Chelu aje athibitishe.😆 😆 😆 😆 😆 kawatengenezea kipindi mmejaa.
Niko Bien sanaRowin naona una sneak, Uko poa ww?
Iliisha ile usiogopeNaogopoa kuuziwa kesi...maana ...Daah!!!!
😆 😆 😆 😆 😆 alikuwa kawachukua kasoro ww ndio umeshtukia chezo.Sijakubali maana ndoto nyevu huambatana na mtoto mrembo. Sasa generator ambalo ni bati na vyuo kwa kweli inapaswa Stephen Chelu aje athibitishe.
Teh teh.... Drizzle anajua...nilimkimbia mapemaaaKesi gani tena hiyo embu nyosha maelezo shosti!...
Basi poa...mengine yaendelee....Iliisha ile usiogope