Kiaje mzeeAisee huyu adui mkuu anaonewa huku siku hizi, inabidi akivue cheo cha usuper villain 😅
Mkuu huyu jamaa kila siku analalamika kuwa anaonewaKiaje mzee
SungusunguMpunguze speed mazee muda bado
Basi ukiona mtu analalamika kuonewa ujue kuna tatizo mahali 😂😂😂. Ila sio mm niliyesema hayo 🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️Mkuu huyu jamaa kila siku analalamika kuwa anaonewa
Askari jamii niadjeSungusungu
Uwepo wako utafanya maandalizi yawe konkiKweli eeh
Basi andaeni mazingira
Mkuu mtasababisha bingwa akimbie id pendwa alafu tukakosa mkeshajiBasi ukiona mtu analalamika kuonewa ujue kuna tatizo mahali 😂😂😂. Ila sio mm niliyesema hayo 🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Karibu sana mkuuNipo ....
Salama tu.Askari jamii niadje
Jana leo na kesho?Nipo ....
Super Villain ni kamanda na pia sina shaka. Hawezi kimbia ID yule mwamba. Ni jasiri kama magimbi yaliyoporomoshwa toka juu ya milima ya uluguru.Mkuu mtasababisha bingwa akimbie id pendwa alafu tukakosa mkeshaji