Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Tehe teheNgoja watoto kwanza mfanye fujo. Najua ikifika saa 6 wote chali.
Tehe teheNgoja watoto kwanza mfanye fujo. Najua ikifika saa 6 wote chali.
Hii kesi unaitengeneza 😂😂😂Ataniambia vizuri sina haraka nae
Pia hata aliyeleta taarifa ya wizi inawezekana yeye ndo akawa suspect ya kwanzasi unajua suspect wa kwanza hua muhusika
Kuwa makini huyo dereva bodaboda asije kukubwaga.Mtanisamehe nashindwa hata kutoa like, usafiri ninaotumia ni mgumu.😀
Halafu ww.Tupo studio tunu mpaka producer achokee
Mkuu kule kulikua na technology ya marsIla yule aliyeiba zenji alilala yeye. Itakuwa alijipulizia dawa yeye badala ya wahusika
Atakua teja yuleIla yule aliyeiba zenji alilala yeye. Itakuwa alijipulizia dawa yeye badala ya wahusika
Ur rightPia hata aliyeleta taarifa ya wizi inawezekana yeye ndo akawa suspect ya kwanza

Inafanyaje kazi hiyo kiongozi?Mkuu kule kulikua na technology ya mars
After uHalafu ww.
Usipende kucheza na watoto. Embu tuondoke tutarudi baadae.

Nakubali. Hata namna anavyoonekana yule lazima ni mtejaAtakua teja yule
Kumuita sio kesi, kesi ni pale atapoanzisha varangati la kaboka mchizi.muite basi aje nimuulize
Kweli kabisa sio juju wala nnNakubali. Hata namna anavyoonekana yule lazima ni mteja
Ina " neutralise threat "Inafanyaje kazi hiyo kiongozi?
UnaogopaKumuita sio kesi, kesi ni pale atapoanzisha varangati la kaboka mchizi.



Tafadhali eleza namna inapatikana na pia jinsi inafanya hadi mwizi akalala.Ina " neutralise threat "
Hawa wezi sio watu wazuri, kuna mtu ameibiwa hapa juzi hadi huruma.
Jamaa waliruka ukuta wakakutana na kluger.
Waliiba kila kitu kwenye kluger (taa, ecu viti, matairi) wakabakisha vitu vya mbele, milango na chassis
Siogopi ila tatizo Waluguru watata sana.Unaogopa![]()