Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Kama dudu baya sio sema nn mpumzisheni mwanangu Super Villain atajiua bureUwepo wako utafanya maandalizi yawe konki
Kama dudu baya sio sema nn mpumzisheni mwanangu Super Villain atajiua bureUwepo wako utafanya maandalizi yawe konki
Angekuwa ni kutoka like kabila la wanyalukolo ningekuwa na wasiwasi. Huyu mwana wa mji kasoro hanaga noma na mtu.Kama dudu baya sio sema nn mpumzisheni mwanangu Super Villain atajiua bure
Mkuu kila mtu anabreaking point yake,Super Villain ni kamanda na pia sina shaka. Hawezi kimbia ID yule mwamba. Ni jasiri kama magimbi yaliyoporomoshwa toka juu ya milima ya uluguru.
Hapo suspects tayari nawajua 😂[emoji38]mnachukuaga round basi maa ooh kwa Drizzle kumeibiwa wakati mmepita hapo si muda
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unaweza jikuta umeshushwa chini na godoro limebebwa hapo ndo utajua hujuiNguvu ya soda sio. Na vibaka wasivyokuwa na adabu huvizia ile mida ya saa 8 hadi 11 ambapo watu wanaota ndoto nyevu [emoji23][emoji23]. Ukishtuka washakisanua tayari.
[emoji38] kasema nani saa mbovi zinatoka huko?!Angekuwa ni kutoka like kabila la wanyalukolo ningekuwa na wasiwasi. Huyu mwana wa mji kasoro hanaga noma na mtu.
Avatar huwa anabadili kila wakati inategemea na mizimu yake imemwelekezaje. Usitie shaka kamanda yupo kamili.Mkuu kila mtu anabreaking point yake,
Hapa tayari kashabadili avatar pendwa.
Unafikiri ni nini kitakachomzuia kuhama id?
Wakwanza ww umejiibia lindoniHapo suspects tayari nawajua [emoji23]
Wezi hawana adabu kabisa. Halafu utasema umepuliziwa dawa 😂😂😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unaweza jikuta umeshushwa chini na godoro limebebwa hapo ndo utajua hujui
Historia imeandikwa we fuatilia utajua tu[emoji38] kasema nani saa mbovi zinatoka huko?!
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Wakwanza ww umejiibia lindoni
[emoji38]inaweza husika eti hahahahWezi hawana adabu kabisa. Halafu utasema umepuliziwa dawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi ona wapi mwandazi akaondoka kabla ya sherehe kwisha? Sisi ndio wafunga milango hapa ninyi mkiwa mnaota ndoto nyevu.Ngoja watoto kwanza mfanye fujo. Najua ikifika saa 6 wote chali.
Ataniambia vizuri sina haraka naeHistoria imeandikwa we fuatilia utajua tu
[emoji38][emoji38][emoji38] si unajua suspect wa kwanza hua muhusika[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mkuu tuchat,
Ila kwa faida ya umma suspects wangu wanamajina yayoanza na herufi inayoanza kwenye suspects
Tupo studio tunu mpaka producer achokeeNgoja watoto kwanza mfanye fujo. Najua ikifika saa 6 wote chali.
Ila yule aliyeiba zenji alilala yeye. Itakuwa alijipulizia dawa yeye badala ya wahusika[emoji38]inaweza husika eti hahahah