JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sasa hapo si ni uonevu tu usio wa lazima. Halafu wanatutesa sisi maskini wenzao. Kwa nini wasitumie hivyo vipaji kusafiri hadi world bank na kukomba dolla za kutosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waende huko wakakutane na uchawi wa kizungu wakafanywe misukule huko Ulaya na America? 😂😂
Uchawi una mipaka mkuu, hawa watabaki kitamba hapa hapa Africa. Wangekuwa na uwezo wakupenya BoT hata Mimi ningejifunza ili nikabebe hata mabox mawili tu ya midola😊
 
Waende huko wakakutane na uchawi wa kizungu wakafanywe misukule huko Ulaya na America? [emoji23][emoji23]
Uchawi una mipaka mkuu, hawa watabaki kitamba hapa hapa Africa. Wangekuwa na uwezo wakupenya BoT hata Mimi ningejifunza ili nikabebe hata mabox mawili tu ya midola[emoji4]
Hivi kama ana uwezo wa kuingilia kwenye kuta, kwa nini asiende kupenya kuta za bank?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu muhuni Super Villain au kuna mwingine? Kama ni huyo sherehe ni kumpa zamu ya kulinda wiki nzima kuanzia saa 6 usiku hadi muda wa kufunga lindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilidhani tumpumzishe au tumpungizie majukumu maana anahiyaji kunyonya na kubembelezwa bembelezwa
 
Back
Top Bottom