Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Sana mkuu, ila imepoa ukisikikizia kwenye mdundo utadikia raha yakeHii ngoma ni kali lakini inahuzunisha sana![]()
Sana mkuu, ila imepoa ukisikikizia kwenye mdundo utadikia raha yakeHii ngoma ni kali lakini inahuzunisha sana![]()
PoleMoment nayo kumbuka ni O level niliwajaza watu tuandamane kesho na kweli walinisikiliza usiulize ni nn kilitokea
siwezi kusahau


unataka za manabii? Sasa kama ni zamanabii muda kama huu ujue ilikuwa ni vita tu hakuna kingine unazani kunamaelewano yangetokea tena watu wangenyukana tu saiz weusi na weupe.Hiyo historia ya juzi juzi tu,nikisema urejee historia ya mitume na manabii ujue ndiyo uhalisia wenyewe na ni historia kongwe yenye natija kubwa sana, pili naongelea tija yaani faida inayo patikana kupitia hicho mnacho kifanya.
Ahsante naweWakubwa wa hii kazi,wanasema kuimba kupokezana,kazi yangu nimemaliza, nawaachia walinzi wengine waje kumalizia nilipo ishia.
Ahsanteni sana wadau na hasa hawa warembo wawili yna2 na Saint Anne kwa ushirikiano wao mzuri katika jukumu letu la ulinzi.
Siyo kweli. Huijui historia.unataka za manabii? Sasa kama ni zamanabii muda kama huu ujue ilikuwa ni vita tu hakuna kingine unazani kunamaelewano yangetokea tena watu wangenyukana tu saiz weusi na weupe.
Tuko pamoja mrembo.Ahsante nawe
Kahhhh we mwanamke upoMerudi kundini
Nipoooo...za masiku mingi?Kahhhh we mwanamke upo
Labda kwa dini yako lakini kwa dini yangu mm vitabu vya vita na vijua mzee na visa najua mm natumia Bible kama ulisoma leta huo mswada sawa.Siyo kweli. Huijui historia.
Tukipata wasaa, tutalijadili hili kama mada pweke,chini ya anuani hii "Utapia mlo wa maandamano katika kuitafuta haki"
Ahsante.
Pole![]()


Sikutokea watu walitokea wakaandamana kisha wakapewa suspension ya miezi miwili nilipewa lawama acha tu 
Naanza na sasa Harmonie - Bedroom RemixSana mkuu, ila imepoa ukisikikizia kwenye mdundo utadikia raha yake

Pouwaaa, vipi weweNipoooo...za masiku mingi?
T pain hivi amepotelea wapi01:58
T Pain ft Chris brown_Best Love Song
Nachukua listNaanza na sasa Harmonie - Bedroom Remix![]()
hivyo