Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Ostaz kumbe ni wewe ila umebadili tu kofiaNipo .....
Ostaz kumbe ni wewe ila umebadili tu kofiaNipo .....
UmeniwahiHappy Borndate to my jf brother nnaemkubali sana. My Private "Fortune teller" [emoji23][emoji23]. More years nd blessings to you kaka Super Villain
Ilikuwa wapi hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila maisha yanabadilika sana. Kama kungekuwa na camera inarecord kila tukio ulifanyalo tangu unazaliwa hadi unakufa, kuna watu wangejikataa.Dah umenikumbusha mbali kipago[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahhhh like seriousssss leo ni siku ya kuzaliwa? Ey champ ohhh happy born day amigo, tupo pamoja champion ishi maisha marefu[emoji1635] Super VillainHappy Borndate to my jf brother nnaemkubali sana. My Private "Fortune teller" [emoji23][emoji23]. More years nd blessings to you kaka Super Villain
HBD kwake kaka jambazi Super VillainHappy Borndate to my jf brother nnaemkubali sana. My Private "Fortune teller" [emoji23][emoji23]. More years nd blessings to you kaka Super Villain
Enzi zetu hiyo tunawinda ndege hatarious mzee, neno kipago umenirudisha mbali sana, nilikuaga na shabaa sio ya kitoto, nimeshawapiga walevi wengi sana waliokua wanakatiza mitaa yetu nilikua sikosi mtu kichwa, sema walikuja nigundua mimi ndiyo mbaya wao maana nilikua nawatandika usiku... Usiombe nikuhadithi kipigo nilichopataIlikuwa wapi hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila maisha yanabadilika sana. Kama kungekuwa na camera inarecord kila tukio ulifanyalo tangu unazaliwa hadi unakufa, kuna watu wangejikataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kila mtu ana life story to tell. Nakumbuka ilikuwa tunacheza giza likiingia tunawageukia walevi. Rusha mawe tunajificha kwenye mahindi. Ila utoto raha sana.Enzi zetu hiyo tunawinda ndege hatarious mzee, neno kipago umenirudisha mbali sana, nikikuaga na shabaa sio ya kitoto, nimeshawapiga walevi wengi sana waliokua wanajatiza mitaa yetu nilikua sikosi mtu kichwa, sema walikuja nigundua mimi ndiyo mbaya wao maana nilikua nawatandika usiku... Usiombe nikuhadithi kipigo nilichopata
Utoto ule wetu ulikua ni wakijeshi, sio hawa watoto wa siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kila mtu ana life story to tell. Nakumbuka ilikuwa tunacheza giza likiingia tunawageukia walevi. Rusha mawe tunajificha kwenye mahindi. Ila utoto raha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa k vantUsingizi umekata
Mkuu ingawa uzi umevanish ila ndo muda wa bango sasa12:07
Ile mzee ilikuwa noma sana. Kila nikitafakari huwa naona maisha yalikuwa kipindi kile sio sasa. Mitaani ilikuwa full shangwe. Nilikuwa nawindwa kurudi home nikaoge. Lakini unaweza ukaomba usitafutwe jalamba liendelezweUtoto ule wetu ulikua ni wakijeshi, sio hawa watoto wa siku hizi
😂😂😂😂😂Mkuu ingawa uzi umevanish ila ndo muda wa bango sasa