Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Ulimuona?!Nipo ....
Ulimuona?!Nipo ....
Mimi niko fiti kama muanzi mkuu....mishe mishe vipi bossMimi mzima
Hofu kwako
Ndiyo.Ulimuona?!
Ulichonifanyia leo nahaki ya kulalamika kabisa na ningekuwa mod Wallah ningekupa ban wwMdogo wangu tuongelee ile testimonial au nikaushe![]()

Thank you dear
Unajua kua singidan maji yamejaa?!Kwa taarifa yako
Hadi sasa Vietnam yenye Watu zaidi ya mil. 97 ikiwa jirani na China, ina Wagonjwa 328 tu wa corona na haina kifo hata kimoja, walijiandaa wiki kadhaa kabla na Wageni walianza kupimwa Airport toka January, lockdown wiki 3 tu na sasa Shule/biashara zimefunguliwa.
•
Vietnam ambayo kwa Wastani Madaktari 8 wanahudumia Wagonjwa elfu kumi, haikuwa na Mgonjwa yoyote mpya kwa siku 40 baada ya kuwa na lockdown ya wiki tatu February.
Kama kweli vileNdiyo.
Kuna cha kujifunza hapa kwenye uwongo wetuKwa taarifa yako
Hadi sasa Vietnam yenye Watu zaidi ya mil. 97 ikiwa jirani na China, ina Wagonjwa 328 tu wa corona na haina kifo hata kimoja, walijiandaa wiki kadhaa kabla na Wageni walianza kupimwa Airport toka January, lockdown wiki 3 tu na sasa Shule/biashara zimefunguliwa.
•
Vietnam ambayo kwa Wastani Madaktari 8 wanahudumia Wagonjwa elfu kumi, haikuwa na Mgonjwa yoyote mpya kwa siku 40 baada ya kuwa na lockdown ya wiki tatu February.

Unabisha au ?Kama kweli vile
Thank you ..tubarikiwe sote mpendwa.Shukrani Boss..stay safe and be blessed now and forever mkuu
Unajua mwenye unacho nifanyia
Amina mkuuThank you ..tubarikiwe sote mpendwa.
![]()
Wanachochea moto afu hawajui kupika...kaa kitaalamu tuchanje mbuga kijanja@@yna2Thank you ..tubarikiwe sote mpendwa.
![]()
Hamna sema haujani tonya bdo maanaUnabisha au ?