Hutaki nikwambie ukweli au ?😂😂😂😂Embuuuu
Hutaki nikwambie ukweli au ?😂😂😂😂Embuuuu
Hunitakii mema ww unataka nipewe ban mm leo![]()
![]()
Mkuu hapo hapo kanyagia twende sasa... Biti hilo hapo





Nitafikisha Salamu zakoUkionana nae katika ule uzi mwambie Zurri anakusalimia sana.
HujamboNaam
Nitaenjoy kwa kuna sanitizer tusio mbaya budaa. Hope utainjoi siku yako mkuu. Ngoja nikupishe in advance



😂😂😂AkuuHutaki nikwambie ukweli au ?
Salama kabisa sjui wwHujambo
Hujaona jibu,hivi unapo enda kuoga kama upo na rafiki yako au mfano wake huwa unaaga kwa kusema "...naenda kuoga" au "....naenda kuoga maji" ?Hujajibu swali langu
😂😂😂Akuu
Tulia wewe ..Nitaenjoy kwa kuna sanitizer tu![]()


Mpweke sanaSalama kabisa sjui ww
Tena uzitilie mkazo kabisa.Nitafikisha Salamu zako
😂😂😂😂😂Najua unaujua utamu wa kuambiwa UKWELI.
Maandamano ni sahihi kabisa ndio mwanzo wa kuheshimiana mali zikisha haribika nazani kikao kitafanyika sasa na ndio sheria zitatungwa na maridhiano yatapatikana sasa.Duniani kote, na historia imeandika hilo, ona leo hii huko US na Ulaya watu wanabaguliwa na wanaandana lakini natija haioo na jambo liko vile vile. Inabidi mjiulize inakuwaje kila sikumna andamana lakini mambo yako vile vile, bipa shaka kuna sehemu mnakosea. Mnaanzia kushindwa kwa kutulizwa na majeshi ya utawala.
Ila hayaleti athari chanya zaidi ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari kisha kadhia imekwisha.
Kukaa kimya baadhi ya nyakati ni jibu tosha sana kwa mtu mpumbavu na ni adhabukwa mjinga.
Kuna njia madhubuti za kuondoa udhia ila sio hizi mnazo mtumia mkitaka kuamini angalieni mitume na manabii walitumia njia gani, na hakuna watu walio fanikiwa katika kutafuta haki na ustaarabu kama mitume na mitume.
Najua kimoyo moyo unaupenda Ukweli.😂😂😂😂😂
Nimezoea uongo eti
Siyo kweli, chukua muda utafakari kikubwa na si kitoto, na uweke hisia pembeni utauona huu ukweli nilio kwambia.Maandamano ni sahihi kabisa ndio mwanzo wa kuheshimiana mali zikisha haribika nazani kikao kitafanyika sasa na ndio sheria zitatungwa na maridhiano yatapatikana sasa.
Pole sanaMpweke sana