fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
Here we are.Aisee,who’s there?
Here we are.Aisee,who’s there?
Yeah nipo nipo mkuu....
Kabisa mkuu. Lakini ukiona sura mpya muda huu jua yupo halftime.Wanga tunamalizia malizia ya kwetu
Sasa hivi ndio wanarudi, atakayechelewa tutamkuta asubuhi kadondoka![]()


umenikumbusha miaka hiyo kuna mwaka alianguka kisa kachelewa kurudi hadi jua limeanza kuchomozaUnazani nao hawana traffic jams huko angani? Akiingilia njia ya mwenzake kama ana nguvu atafanikiwa kama hana anapigwa mwereka mpaka chini tunamkuta asubuhi n mawenge kibao hujui A wala B😂😂😂umenikumbusha miaka hiyo kuna mwaka alianguka kisa kachelewa kurudi hadi jua limeanza kuchomoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesiikia kuna mlinzi anazaliwa leo, itabidi tumfanyie kasherehe walinzi wenzake


huyu muhuni Super Villain au kuna mwingine? Kama ni huyo sherehe ni kumpa zamu ya kulinda wiki nzima kuanzia saa 6 usiku hadi muda wa kufunga lindo.Duh hizi mambo bana sijui watu wanafaidika nazo vp? Kama ningekuwa na uwezo huo nadhani ningekuwa tajiri sana maana ningeingia bank na sehemu yoyote ile nakomba pesa ya kutosha. Dadadeki. Wanga unawakuta choka mbaya.Unazani nao hawana traffic jams huko angani? Akiingilia njia ya mwenzake kama ana nguvu atafanikiwa kama hana anapigwa mwereka mpaka chino tunamkuta asubuhi n mawenge kibao hujui A wala B![]()
Sis ndio wazee wa details za mwisho za ulinzi baada ya walinzi wa kike wote kwenda kulala. Milango mikuu yote hufungwa nasi na si akina chiqutitta Depal yna2 wala Goddess au Saint Anne au Hornet 😊😊😊
Hao wote asa hivi wametepeta. Ujanja kwisha kabisa. They are sleeping like a baby.Sis ndio wazee wa details za mwisho za ulinzi baada ya walinzi wa kike wote kwenda kulala. Milango mikuu yote hifungwa nasi na si akina chiqutitta Depal yna2 wala Goddess au Saint Anne au Hornet![]()
Hahaha mimi nadhani wanakosa ile nguvu ya kuzigeuza/kuzibeba pesa kiroho vinginevyo wangeshakuwa matajiri. Wanabaki kutukaba na kutukanyaga kanyaga tu usiku na kutuvimbisha matumbo 😂😂Duh hizi mambo bana sijui watu wanafaidika nazo vp? Kama ningekuwa na uwezo huo nadhani ningekuwa tajiri sana maana ningeingia bank na sehemu yoyote ile nakomba pesa ya kutosha. Dadadeki. Wanga unawakuta choka mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
So wataka kuniambia kipindi kile walikuwa active kwasababu walikuwa wanavizia daku? 😂😂Hao wote asa hivi wametepeta. Ujanja kwisha kabisa. They are sleeping like a baby.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu.. sisi tunaendelea na majukumuNipo .....
Sasa hapo si ni uonevu tu usio wa lazima. Halafu wanatutesa sisi maskini wenzao. Kwa nini wasitumie hivyo vipaji kusafiri hadi world bank na kukomba dolla za kutosha?Hahaha mimi nadhani wanakosa ile nguvu ya kuzigeuza/kuzibeba pesa kiroho vinginevyo wangeshakuwa matajiri. Wanabaki kutukaba na kutukanyaga kanyaga tu usiku na kutuvimbisha matumbo
wengine kwenda kutulimisha vijijini hukozaidi ya hapo Havana lolote shenzy zao
Mimi sijasema hayo. Usininukuu mkuuSo wataka kuniambia kipindi kile walikuwa active kwasababu walikuwa wanavizia daku?![]()


