Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Na kwako pia mpendwaNice night in advance beautiful
Na kwako pia mpendwaNice night in advance beautiful
Kwema za kwakoHuo sasa ndiyo ukubwa na umetumia busara sana, Waswahili tunasema mkubwa akivuliwa nguo,huchutama.
Mzika lakini bibie ?
Endelea kupambana,usichoke.Tatizo lake moja, hataki awe mke wangu wa tatu. Nikifika hapa huwa ananikatisha tamaa sana. Ila ngoja niendelee kupambana, huwezi jua.
Buda vipiBecause they are necessary to enjoy success
BudaaaMan needs his difficulties
Duniani kote, na historia imeandika hilo, ona leo hii huko US na Ulaya watu wanabaguliwa na wanaandana lakini natija haioo na jambo liko vile vile. Inabidi mjiulize inakuwaje kila sikumna andamana lakini mambo yako vile vile, bipa shaka kuna sehemu mnakosea. Mnaanzia kushindwa kwa kutulizwa na majeshi ya utawala.Nani aliokuambia viongozi wananguvu kushinda viongozi huu mtazamo wako ni kwa Afrika tu lakini sio Ulaya na nk..
Ila hayaleti athari chanya zaidi ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari kisha kadhia imekwisha.Huko maandamano yanaleta hamasa na msisitizo juu ya ukubwa wa jambo usitegemee watu watapoa kirahisi hivyo.
Kukaa kimya baadhi ya nyakati ni jibu tosha sana kwa mtu mpumbavu na ni adhabukwa mjinga.Kukaa kimya ni uzembe na kuchukulia mambo ni rahisi rahisi na mepesi mepesi mno damu ikimwagika lazima kumbukumbu iwepo na ndio italeta fundisho.
Ukionana nae katika ule uzi mwambie Zurri anakusalimia sana.Hilo siliachi.
Hahahaha Zoe siku hizi kaadimika Sana.
Kilio changu mimi ni kile kile tu cha kila siku, ila poa tu haina shida.Kwema za kwako
YouWho is tough like John cenaView attachment 1463105
Mmoja hatoshi.Endelea kupambana,usichoke.
Hivi kumbe tayari uliongeza wa pili?
😂😂😂😂EmbuuuuKilio changu mimi ni kile kile tu cha kila siku, ila poa tu haina shida.
Hujajibu swali languMmoja hatoshi.
Wapi pako free sasaHakika mkuu,
Ila kuna majimbo tayari yana viti vyake permanent, usichukue huko . Tutakupoteza


NaamBudaaa