Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Sijaelewa nimekausha tu kimyaNaongea kwa namba, niliye mquote ameelewa.
Sijaelewa nimekausha tu kimyaNaongea kwa namba, niliye mquote ameelewa.
Mkuu wee bingwa, kwa point kama hizi kama ni uchaguzi umeshachukua jimboMaji ni mazuri kunawa kwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23] inabidi tutumie kistaarabu maji unajua.
NmeokokaYeah japo nakuona cool sana leo
Tunapishana sana, na mrembo Hawachi na yeye ameadimika sana siku hizi, kule katika uzi wenu baso mnakimbiza kwa mwendo ule ule au mnasua sua siku hizi...?Wewe si umenisusa
Karma sielewi alipo.
Jina kubwa ni zungumze na baba yako vybe tunakupa line unasurrender ****** vaa mtumba........ Acha na hii verse kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16] umeelewa zile za kina alejandro na barbarita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Sana..simiss bwana
Mkuu umenikumbusha mbaliFiesta—— Jay-Z ft R. Kelly. [emoji442]
Kwangu ni chukizo sana, ungekuwa karibu yangu ningekupiga banzi la ajabu.Najisikia Raha ujue
Nafurahi kusikia hivyo babe![emoji8]Hahaha
Usijali,mali zako haziwezi kuibiwa..ziko salama salmini Wala hazijaguswa.
Sawa mkuu
Samahani kwa hili swali...
Naendelea kumuomba Mungu atupe uzima[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Ukaporomoshage essay nikiisoma roho ifurahi.
Huo sasa ndiyo ukubwa na umetumia busara sana, Waswahili tunasema mkubwa akivuliwa nguo,huchutama.Sijaelewa nimekausha tu kimya
Uzi bado upo ila baadhi ya watu naona wametingwa.Tunapishana sana, na mrembo Hawachi na yeye ameadimika sana siku hizi, kule katika uzi wenu baso mnakimbiza kwa mwendo ule ule au mnasua sua siku hizi...?
Yana leta haki na kuwachanganya viongozi walio lala kuwakumbusha wajibu wao na kuchukulia jambo kwa uzito..Hivi maandamano huwa yana faida gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe usitubebe ujinga.. hakuna kitu utawezana huko, juu huko hakuna kitu unaeza fanya. Tarajia kesho nakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimehama teyari nipo kwenye maandamano huku Minneapolis napambana na mabomu ya machozi tu.
Pambana na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu ni chukizo sana, ungekuwa karibu yangu ningekupiga banzi la ajabu.
Uwe na amani kabisa mchumba [emoji8]Nafurahi kusikia hivyo babe![emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo jichukue form ya uwongozi?Mkuu wee bingwa, kwa point kama hizi kama ni uchaguzi umeshachukua jimbo
😳Nmeokoka
Amen mtumishi.. hope all is well mdadaNmeokoka
Kwa kuleta haki sio kweli, labda kuwaogofya na kuogofya hakupatikani sababu viongozi huwa wana nguvu kuliko raia, inabidi muangalie njia bora zaidi ya kutatua matatizo yemu na kutafuta haki.Yana leta haki na kuwachanganya viongozi walio lala kuwakumbusha wajibu wao na kuchukulia jambo kwa uzito..