JamiiForums Usiku wa manane
Top of all..... Acha kabisa
Screenshot_20200530_013939_com.shazam.android.jpg
 
Itabidi upitie historia vizuri mzee wangu alafu angalia China, India na nchi nyingine nn huwa wanafanya kwenye matukio kama haya.
Hiyo historia ya juzi juzi tu,nikisema urejee historia ya mitume na manabii ujue ndiyo uhalisia wenyewe na ni historia kongwe yenye natija kubwa sana, pili naongelea tija yaani faida inayo patikana kupitia hicho mnacho kifanya.
 
Back
Top Bottom