simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Acha uchoyo maana hufanani nao hata kidogo. Em kamsafishie nyota brother ya kupata uzi spesheli jeiefu 😊😊Nilishafuta![]()
Acha uchoyo maana hufanani nao hata kidogo. Em kamsafishie nyota brother ya kupata uzi spesheli jeiefu 😊😊Nilishafuta![]()
Kuna siku uliniquote na sikukutambua.Pole sana, tulikuwa tunapishana sana ndiyo maana.
Toa hapa hapa mkuu,😂😂😂😂 Ila si naruhusiwa kulitoa hapa au🤦
Acha uchoyo..Corona haipogo😎Tukijaliwa uzima kesho mtanawa tundio kilichopo alafu mikusanyiko hairuhusiwi ujue.
Inabidi yna2 ahamishe hiyo wish yake iwe Uzi maana imejitosheleza..Acha uchoyo maana hufanani nao hata kidogo. Em kamsafishie nyota brother ya kupata uzi spesheli jeiefu![]()
😂😂😂😂Toa hapa hapa mkuu,
Au lina tag ya 18+ ?
Walisema Id yangu ina fanana na ya kike, nikaona isiwe tabu, ngoja niwaridhishe waja, sasa nimo humu.Sikukutambua mapema ostaz
Muulize Basi huyo bwana miamala cake wapi? ...
Itakuwa, ndiyo mimi yule yule.Kuna siku uliniquote na sikukutambua.
Nitakimbia humu ujue nitafuata hii ID mkifanya hivyo nyieHiyo thread haihusiani... em kamuandikie mr villa Super Villain

Mwamba anasingizia mikusanyiko haitakiwi..besidei boi anazinguaSi unaona ananisogezea hilo jukumu la kutoa muamala. Oy wee Super Villain toa location watu tuje kula cake
Nasingiziwa tu mm hapa.Ulimpoteza mshkaji wangu huyo
Oh sawa ustaadhItakuwa, ndiyo mimi yule yule.
Nakupiga faini weweNasingiziwa tu mm hapa.
La kibishi bishi sio ? Inapendeza bibie.Oh sawa ustaadh
Hili jina liko poa zaidi.
Maneno hayatakiwi leo inatakiwa isome miamala tu saizWee
Wish yangu ya bday ni muamala tosha


