- Aug 6, 2009
- 2,242
- 1,320
Moderator Habari
Ulinisaidia swala frani hivi
Kwa ufafanuzi wako mzuri
Na Mimi Nikakushukuru vizuri Sana
Lakini hujajibu [emoji19][emoji19]
Kila siku nafresh Labda ntaona Asante yako [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kushukuru
Mada gani ilikuwa?