Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,688
- 11,201
utani wa manati huu troublemakerUwe unawasha Bluetooth mkuu, ... Yaan unakojoa kwa Bluetooth...[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
utani wa manati huu troublemakerUwe unawasha Bluetooth mkuu, ... Yaan unakojoa kwa Bluetooth...[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Ngoja leo nikupe ujanja, tafuta mpira wamaji kulingana na umbali wa toilet yenu, ikifika usiku ukitaka kukojoa unakojoa kwenye mpira kitu kinasafiri kwenda toi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23]si wakati unaeleza jamani ulikua unanieleza which is which na logo like b n mercedes oneDah yani niongelee Logo
[emoji38][emoji38][emoji38]
Haya Haya Madame
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeikuta kwa January Makamba.
tunapo elekea tutaenda tu church hivyo miezi inayofuata huko.Ndio kilichobakia....ila sasa...mpaka ukumbuke pamoja na wito...
Yeuwii, nishaanza kuona nyota sahivi nalala soon
Chief hakuna Johnnie walker hapo?Njo uniseidie imebaki kidogo
View attachment 1452261
huna 🍺🍺🍺 karibu hapo???
Usisahau Church sio jengo[emoji846][emoji846]...cha muhimu tukumbuke kuomba/kusali.tunapo elekea tutaenda tu church hivyo miezi inayofuata huko.
niliwahi kudanganywa ni dawa ya usingiziThat's beer ama?, i don't drink acha nilale tu
kweli lakini unacho sema kokote tu kule unasali.Usisahau Church sio jengo[emoji846][emoji846]...cha muhimu tukumbuke kuomba/kusali.
Gari ulio i'quote' ni Normal G63 Wagon sio Brabus, Brabus ni ile nyeus yenye Logo ya B Mbele Badara ya Logo ya Mercedes Benz Ndio Wagon Mkuu View attachment 1452258
[emoji23]si wakati unaeleza jamani ulikua unanieleza which is which na logo like b n mercedes one
🍷 nijazie mkuu😂😂Njo uniseidie imebaki kidogo
View attachment 1452261
Kuna usemi usemao wasiokunywa pombe ni washamba, ila mi mwenyewe ni mmojawapo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]That's alcohol?, i don't drink acha nilale tu
maji ya kunawa tasavali ostazi[emoji4][emoji44][emoji856][emoji855][emoji24][emoji32] Really ?
Hembu ngoja kwanza hapo ulipo Unafanya nn jaman inaeza ikawa ni Source [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanza Ngoja Nile ntapaliwa chakula kiende kwny koo la hewa nikose pumzi Nife [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu lijaribu hilo, ni moja kati ya games bora kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unakumbuka ule mtanange wa browser vs app. Naona hadi leo mshindi hajapatikana.
Nipo mkuu, mimi ni msomaji zaidi mara chache ndio nakuwa nachangia hoja