Mkuu usinisahau kwenye utajiri wakoManzurul Alam- Bella Ciao![]()
Hahahaha, hapana mie humu hata nafuatilia basinilidhani kuna watu wamesha bwagana humu
Oy Mkuu Game za Check ambazo ziko Kama Draft za kwetu huku ambap Unakula kwenda mbele tuu sio kwenda Mbele na Nyuma zinaitwaje ? Nataka ni-install hapa
Mkuu kumbe na wewe askari?Ndyo naingia lindo, i hope sijachelewa😛
Lokoo saa Saba hujachelewaNdyo naingia lindo, i hope sijachelewa![]()
Ulishajaribu DALMAXOy Mkuu Game za Check ambazo ziko Kama Draft za kwetu huku ambap Unakula kwenda mbele tuu sio kwenda Mbele na Nyuma zinaitwaje ? Nataka ni-install hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hilo jekundu Ama?Ts a brabus g wagon / mercedes G wagon
M naona hvyo
Nalijua Dalmax, option zipo nyingiOy Mkuu Game za Check ambazo ziko Kama Draft za kwetu huku ambap Unakula kwenda mbele tuu sio kwenda Mbele na Nyuma zinaitwaje ? Nataka ni-install hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna Roll calls kabisa,ntakua nawahiiLokoo saa Saba hujachelewa
Jamii Forum ina wadada wachache Sana
How are you ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pakua dalmax, alafu set Kwenye Tanzania...Oy Mkuu Game za Check ambazo ziko Kama Draft za kwetu huku ambap Unakula kwenda mbele tuu sio kwenda Mbele na Nyuma zinaitwaje ? Nataka ni-install hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu I didn't check dalmaxUlishajaribu DALMAX
Ebu lijaribu hilo, ni moja kati ya games bora kwa sasa.Hapana Mkuu I didn't check dalmax
Ngoja nilicheki, Sema Mkuu umeadimika Tang kwny uzi wa App Vs Brows Sijakuona tena hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijilalie zangu.... nikiwaendekeza nyie itakula kwangu.....
waweza kukuta wenzangu hamna usingizi kwa sababu mpo katika kina kirefu chenye mawimbi ya msongo wa mawazo...
wengine mmeachwa
wengine mnadaiwa kodi ya nyumba
wengine ni walimu mnawaza shule zitafunguliwa lini maana mna arosto ya kufundisha![]()
wengine mnajiliwaza baada ya kugundua kuwa watoto mliokuwa mnajua kuwa ni wa kwenu sio wa kwenu bali mlibambikiwa
usiku mwema