JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna kitu sipendi kama kuamka kwenda kukojoa...[emoji3] Yaani basi tu nitafanyaje na mkoja umenishika.
Ngoja leo nikupe ujanja, tafuta mpira wamaji kulingana na umbali wa toilet yenu, ikifika usiku ukitaka kukojoa unakojoa kwenye mpira kitu kinasafiri kwenda toi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom