Funga mkuuTufunge chap chap, kunatetesi waumini wa rikiboy wameonekana mtaani
Oya unamkimbia boss wako?Muwe na siku njema,
Good morning buddies.
Anakukimbia huyuHahah hangover inasumbua mh. VC.
Rafiki mbona unalala sana, umepata mchumba JF?Ndyo nimeamka nikahisi itakua ni alfajiri hii![]()



Hahaa, vipi wachumba wa jf waleta usingizi sana eeh?, hamna kitu naenjoy kama usingizi aisee, siku za weekend sometimes huwa naamka saa 6 au 7 mchana🙈Rafiki mbona unalala sana, umepata mchumba JF?![]()
Abeee ,nipo afande mkuu wa lindo ,mambo!
Poa staff sajenti hope umetumia satnaizaAbeee ,nipo afande mkuu wa lindo ,mambo!
Hahaa, vipi wachumba wa jf waleta usingizi sana eeh?, hamna kitu naenjoy kama usingizi aisee, siku za weekend sometimes huwa naamka saa 6 au 7 mchana![]()



Ndyo afande, samtiza kama zoteePoa staff sajenti hope umetumia satnaiza
Mambo mkuu!