Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Na kwako pia mpendwa
Na kwako pia mpendwa
financial services karibu sana kwenye chama la wana. Jukumu letu kulinda raia na mali zao. Hiyo ndio kauli mbiu ya ulinzi shirikishi.Kumbe yeye ndiye CEO wa lindo, safi sana haina kufumba jicho hiyoo
Duh huu wema umeuanza lini mkuu Super Villain. Siku zote tupo wote tuna hassle pamoja, achilia mbali sisi masela lakini hata Goddess nina hakika hajawahi kirimiwa kwa kiwango hiki. When did you started to be so generous man?Poa mzima ww? Basi karibu tukeshe nikupe nn kahawa na sukari au kahawa na maziwa ipi unapenda?
Mkuu fyddell huyo Super Villain ana cheo chake na boss wake mkuu ni mng'ato. Labda huku anaingia shift ya usiku. Ila ni full time employee kwa chama la wana 😂😂😂Huyo ndio 2ic (second in Command) kwenye lindo hili chini ya Drizzle
Sasa hivi nitakuwepo sanaaUmefufukia wapi leo? 😊
Sawa nimeacha Uongo.Hata za gari hakunaacha uongo ww
Basi karibu sana.Sasa hivi nitakuwepo sanaa
Asante Kaka. Tukutane usiku wa manane😜Basi karibu sana.
Poa sijui nikutakie asubuhi njema au mchana mwema now😉Asante Kaka. Tukutane usiku wa manane😜
Ahsante nilikaribia mkuu ila lindo likanishinda nikakabidhi silaha nikalala zangu😀, nasikia wewe ndye Boss mwenyewe 😀financial services karibu sana kwenye chama la wana. Jukumu letu kulinda raia na mali zao. Hiyo ndio kauli mbiu ya ulinzi shirikishi.
Chiquitita kama unaitwa hivi na superbug, njoo umsikilizeeAnyway let me keep low profile naanza kuumia nahisi upweke naanza kuona wewe unanafasi kwangu anyway ukipenda utanielewa @ chiq...
😀😀Sijawahi kulala mida kama hii, afu niliskia kabisa jogoo akiwika mtaani kuashiria kumekucha doh, mko vizuri nyieeYani ndio unaamka alafu unakimbia mapema hivi.
Upo kwenye uzi wa usiku wa manane saa hizi saa sita mchana!Chiquitita kama unaitwa hivi na superbug, njoo umsikilizee


Una nini lakini?Ndyo nimeamka nikahisi itakua ni alfajiri hii😀😀Upo kwenye uzi wa usiku wa manane saa hizi saa sita mchana!Una nini lakini?
Chiquitita kama unaitwa hivi na superbug, njoo umsikilizee