Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,829
- 40,370
Swaga za Wasiojua kutongoza.!Hakika. Maana kwa hadi sasa mtizamo wa watu wengi ni kupambana na maralia kwa kutumia dawa ilihali msabishi msambazaji wa maralia anachukuliwa poa. Nadhani kama isingekuwa usumbufu ambao mbu anatoa kwa binadamu basi vifo vitokanavyo na maralia vingekuwa vingi maana hizi kero zake ndo zinafanya angalau watu watumbuke nae kwa kiasi fulani.
Eti Mada ya kuttokomeza malaria usiku huuu kweliiiii...!?
