Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Kawahi kazini mzee. Au upo kwenye halftime?Leo na nafunga lindo mwenyewe
Kawahi kazini mzee. Au upo kwenye halftime?Leo na nafunga lindo mwenyewe
Kawahi kazini mzee. Au upo kwenye halftime?


Leo nafunga geti mwenyeweNinazo mkuu, unataka kufunga kaskazini, mashariki, magharibi au kusini?Funguo haijapatikana?
Nenda kafunge upande wa Morogoro ili uwahi kabisa na shamba 😂😂😂Leo nafunga geti mwenyewe
Nafunga upande wa karibia na mjini Morogoro nimehamaNenda kafunge upande wa Morogoro ili uwahi kabisa na shamba![]()
Katikati kwenye msalaba ambapo mistari yote minne inapokutaniaNinazo mkuu, unataka kufunga kaskazini, mashariki, magharibi au kusini?
Hiyo yote ni kanda ya mashariki, hivyo ni ruksa kabisaNafunga upande wa karibia na mjini Morogoro nimehama
Unataka kanda ya kati au ya ziwa?Katikati kwenye msalaba ambapo mistari yote minne inapokutania
Haya nipe funguo yangu sasaHiyo yote ni kanda ya mashariki, hivyo ni ruksa kabisa
Hebu nipe zote mbiliUnataka kanda ya kati au ya ziwa?
Unataka kanda ya kati au ya ziwa?
Heshima yenu viongozi.Haya nipe funguo yangu sasa
Make sure una double check then funguo utakaa nazo hadi jioni utakapokuja kufungua.Haya nipe funguo yangu sasa
Aah mwenye kiti na ww upo macho muda huuHeshima yenu viongozi.
Itifaki imezingatiwa

Hahah hangover inasumbua mh. VC.Aah mwenye kiti na ww upo macho muda huu![]()
Limeisha hilo wacha nifunge geti saa 06:30Make sure una double check then funguo utakaa nazo hadi jioni utakapokuja kufungua.
View attachment 1446603
Tafuta Pepsi tu saiz usukutueHahah hangover inasumbua mh. VC.
Tufunge chap chap, kunatetesi waumini wa rikiboy wameonekana mtaaniLimeisha hilo wacha nifunge geti saa 06:30
Have a blessed and bright blue mondayMuwe na siku njema,
Good morning buddies.