Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
mara 6 mzee 😳Umetulia sana, naweza nisiusikilize kwa muda mrefu ila nikija kuu'play naweza kuurudia hata mara 6,7 hivi
mara 6 mzee 😳Umetulia sana, naweza nisiusikilize kwa muda mrefu ila nikija kuu'play naweza kuurudia hata mara 6,7 hivi
Wiz Khalifa - Promises 🎧
Hapa inarudia mara ya 3, leo hamna cha playlist ni mwendo wa kuchagua tu. Kwa hiyo wimbo fulani ukinikosha unajirudia hadi nitakaporidhika. 😀😀😀mara 6 mzee 😳
Karibu mkuu..
Hii promise ilishawahi nitoa chozi [emoji23]Dogo ntumie hii kule chimboni [emoji23]
TI ft. Keri hilson- got yo back [emoji445]
Huwa siichoki
Aah mm hivyo siweziHapa inarudia mara ya 3, leo hamna cha playlist ni mwendo wa kuchagua tu. Kwa hiyo wimbo fulani ukinikosha unajirudia hadi nitakaporidhika. [emoji3][emoji3][emoji3]
😂 😂 😂 😂Hii promise ilishawahi nitoa chozi [emoji23]
Hii promise ilishawahi nitoa chozi [emoji23]
Leo nina mzuka wa kuvuruga kila genre 😀😀😀😀Aah mm hivyo siwezi
Tu skip tu hii story ilikuwa ni kibwagizo tu [emoji23][emoji23]Mzee kuna aliyekudanganya kuwa kuja forever and for always [emoji23]
Acha tu mzee wangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maneno haya labda aongee mwengine lakini sio ww!
Hahaa.
Why?
[emoji23][emoji23][emoji23] mm nataka hype sana sana leo.Leo nina mzuka wa kuvuruga kila genre [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Upo mpaka saa ngapi?