😀 😀 😀 😀 😀Au umelala peke yako na hakuna watu karibu na makazi yako ghafla unasikia harufu Kali ya pafyumu
Washafika usihofu na jana ilikuwa blue mondayMbona kimya jamani
maneno haya labda aongee mwengine lakini sio ww!
kitambo hii nyimbo lakini bado huwa ina sound good tu siku zote.Stupid love - Jason Derulo 🎶
yeah ndio kumekucha sasa.
Yaani wewe ni mgeni na umekuja kulinda! Wewe ni mzalendo kwelikweli (in sizonje's voice)
Umetulia sana, naweza nisiusikilize kwa muda mrefu ila nikija kuu'play naweza kuurudia hata mara 6,7 hivikitambo hii nyimbo lakini bado huwa ina sound good tu siku zote.