Timiza majukumu yako chief!!Wazee wa ulinzi shirikishi, mfungo lindo kama kawaida yangu nishawasili. Je kuna mwenye hoja mbadala? Elli Mshana Mjep Depal mahondaw Mnazareth Ninja assasin mama D
Nashukuru mkuu. Nitatekeleza kama itakikananvyo.
Hakuna hoja mbadalaWazee wa ulinzi shirikishi, mfunga lindo kama kawaida yangu nishawasili. Je kuna mwenye hoja mbadala? Elli Mshana Mjep Depal mahondaw Mnazareth Ninja assasin mama D
Kama ni and hivyo natamka rasmi lindo limefungwa rasmi tukutane tena muda yetu ile ile. Niwatakieni siku au usiku mwema.
Ndio tumemalizana hapo labda kama utapost nyingine ya kwako siku za mbeleni huko najua utanitag![]()





AmenWapendwa katika jina la yesu ni wakati wakufanya ibada na kupiga goti

mm mzma ngoja tuwasubili WadauWote muwazima humu ndani??
vyema kabisaaa mkuuBila shaka usiku wenu unawaendea vyema
Nakuona mkuu kama kawavyema kabisaaa mkuu