Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Siwezi kubaki humu saizUpambane tu na zamu yako..nalala muda si mrefu
Siwezi kubaki humu saizUpambane tu na zamu yako..nalala muda si mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23] Una makoloni tena.Hahaha, huku nitakuwa nakuja kusalimia siku za sikukuu na holidays.
Na kuchungulia kama makoloni yangu yako salama.
Naona kuku kakulevya..haya kalaleSiwezi kubaki humu saiz
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuachia vile nilivyokuambiaNaona kuku kakulevya..haya kalale
Karibu sana mchimbaji.Ndio naripoti lindoni 01:49Am
Thubutuuu ulivyo mchoyo ivyo[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuachia vile nilivyokuambia
Kabisa ndio muda sahihi huu.Wapendwa katika jina la yesu ni wakati wakufanya ibada na kupiga goti
Ameen..ukimaliza kusali Rudi kwa wifi kitandaniWapendwa katika jina la yesu ni wakati wakufanya ibada na kupiga goti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huwezi kula sawa na mwenye mali subira ofa pale B.....Thubutuuu ulivyo mchoyo ivyo
[emoji23][emoji23][emoji23] Una makoloni tena.
Mchoyo utamjua tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huwezi kula sawa na mwenye mali subira ofa pale B.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya mzee wanguHiyo ni lugha ya kazi mkuu.
Ukifikia umri huu utaielewa.
Saa nane kamili hadi na robo unarudi lindoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm huyo leo unaniambia mchoyo [emoji17]Mchoyo utamjua tu..
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm huyo leo unaniambia mchoyo [emoji17]
Mgonga kengele ni ww mwenyewe au??Saa nane kamili hadi na robo unarudi lindoni