Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,037
- 6,907
🤣🤣🤣🤣mlo moja PA day nao mpak uzoe kama ulikuwa mlafi unashushia na kabia ni hatare mzee 😁😁😁Dah...Kama huna mchongo wowote Bora kujilockup tu wimbi lipite....nunua dagaa wako wakavu na kiroba cha unga..mengine ni kujiongeza tu....Usisahau ni mlo mmoja kwa siku.....[emoji2960]
Sent using Beretta ARX160