yaaap Sungusungu tunaingia lindo 😂😂Nakuona mkuu kama kawa
mmmm tukilala jf atalinda NanSimu moja moja muwe mnalala
zamu yako Leo pita na kitabu cha kusain na funguo unakabidhi 12 morning 😁😁😁Hodi lindoni, zamu ya nani leo.?
zamu yako Leo pita na kitabu cha kusain na funguo unakabidhi 12 morning [emoji16][emoji16][emoji16]
yaaap yaaap wajubu wa izi Kaz 👍Kila sehemu lzma walinz tuwepo
Jana na leo 😁😁😁Nipo
mm mwenyewe nazuga napotea hiv karibuni narud apa saa tisaMi leo nina kazi maalumu, nimepita tu chaap kusaini [emoji3][emoji3][emoji3]
karib Sungusungu mwenzangu tuendelee kuilinda jfNipo ...
zama ndani
Kweli kabisaSiku moja moja muwe mnalala
Tupo imara kabisa kulinda raia na mali zao?yaaap Sungusungu tunaingia lindo 😂😂