Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,983
- 6,783
0502 am signing out narud kweny post yangu nakukabidhi funguo akikisha unahesabisha namb kabla ya kukabiz kitabu cha kusainMjep umekimbia
0502 am signing out narud kweny post yangu nakukabidhi funguo akikisha unahesabisha namb kabla ya kukabiz kitabu cha kusainMjep umekimbia
😀😀😀😀yaaap kabisa walim wajiandae kisaikolojia Sema nn waliko behind the scenes uko jikoni ndio wana hari harisi ukiona wanafunzi hawarud ujue still bado Kwata inacheza uko na corona ndio right marker
Ulikuwa OP gani mkuu?yaaap kabisa walim wajiandae kisaikolojia Sema nn waliko behind the scenes uko jikoni ndio wana hari harisi ukiona wanafunzi hawarud ujue still bado Kwata inacheza uko na corona ndio right marker
Itabidi tufunge mimi na wewe sasa maana hakuna namna.Watu wanakimbia kufunga
Na Mimi nakimbia soonItabidi tufunge mimi na wewe sasa maana hakuna namna.
Sawa mi nipo hadi 0600. Nitakuwakilisha kwenye report.Na Mimi nakimbia soon
Hahah mzee wako ni mgermany ila namuelewa hali ni mbaya kusema ukweli,Hahaha mzee wangu kapiga madogo hawaendi kokote hata dukani.
Wanazunguka tu humo ndani... Ila ni kipaji kukaa ndani kama hujazoea
Wamefanya jambo jemawengi mzee wamesha kula Kona wamerud makwao uko buseresere namtumbo na maelia mengine
Kwa kipindi hiki kila mwenye familia amechukua tahadhali za kipekee kabisa. Unaweza ukawaacha watoto wajichanganyena wenzao nje wakakuletea Corona ndani ya nyumba. Na wenyewe sasa walivyo hata hawaelewi, ni kutamani kucheza mpira, sijui kwenda kwa akina fulani akishamaliza home work yake toka kwenye monthly package yake.Hahah mzee wako ni mgermany ila namuelewa hali ni mbaya kusema ukweli,
Sisi tunatoka ubishi tu wa majukumu tofauti na hapo tumejifungia maana mjini sasa hajulikani yupi ana ugonjwa yupi hana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuuKwa kipindi hiki kila mwenye familia amechukua tahadhali za kipekee kabisa. Unaweza ukawaacha watoto wajichanganyena wenzao nje wakakuletea Corona ndani ya nyumba. Na wenyewe sasa walivyo hata hawaelewi, ni kutamani kucheza mpira, sijui kwenda kwa akina fulani akishamaliza home work yake toka kwenye monthly package yake.
Home nimewapiga madogo ban ya nguvu hapa