JamiiForums Usiku wa manane

Attachments

  • IMG_20200428_012503_997.jpeg
    IMG_20200428_012503_997.jpeg
    30.6 KB · Views: 5
Wapendwa katika bwana, natangaza rasmi kustaafu kwenye hili jukwaa.

Uzee umeninyemelea kiasi kwamba nashindwa kuendana na kasi ya kazi hii ya ulinzi.

Muwe na wakati mwema na mzingatie maadili.

Leo utakuwa ndiyo usiku wangu wa mwisho kwenye hii thread.
 
Back
Top Bottom