Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Funga tafadhali, funguo niachie hapo dukani kwa MangiNarudia tena kuna hoja yoyote kabla geti halijafungwa?
Funga tafadhali, funguo niachie hapo dukani kwa MangiNarudia tena kuna hoja yoyote kabla geti halijafungwa?
MorningMorning. Uwahi kwa mishemishe sasa
Nice. Have a good oneMorning
Namalizia kujiandaaa
Funga tafadhali, funguo niachie hapo dukani kwa
Sawa mkuuFunga tafadhali, funguo niachie hapo dukani kwa Mangi
Hahaha hapana
Nilishtuka tuNakuona
nani yuko zamu Leo??Nafungua lindo![]()
yna2 yupo zamu leo.nani yuko zamu Leo??
Unafungua usikimbie na kufunga mzee.Nafungua lindo![]()
mkuu hakikisha akabizi funguo saa 12Unafungua usikimbie na kufunga mzee.
We inabidi upande cheo, uwe unakaa huku kibandani kwangu11:46
Hilo halina shida lazima niakikishe atafunga na hataondoka na funguo leo.mkuu hakikisha akabizi funguo saa 12
Nashukuru kwa kuni karibisha huku.😂😂😂 mkuu Haifungiki huku ni kijiwe cha usiku kwa ajili ya sisi tuliopewa jukumu la kuangalia usalama wa raia na mali zao. Kule mida ya mchana hivi basi mambo burdani kabisa. Karibu sana mkuu.