Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,265
Kuna kitu nimewaza nimecheka 😀😀😀Haswaaaa kujifukiza muhimu sana kwa sasa
Haya mfusho mwema.
Kuna kitu nimewaza nimecheka 😀😀😀Haswaaaa kujifukiza muhimu sana kwa sasa
Mnajifukiza tu eehKuna kitu nimewaza nimecheka
Haya mfusho mwema.
Bado sanaMuda bado kidogo
Ndiyo 😀Mnajifukiza tu eeh
Usicheke peke yako mkuuKuna kitu nimewaza nimecheka 😀😀😀
Haya mfusho mwema.
Hahahaha, vzrNdiyo![]()
Njoo kwetu tucheke wote..Usicheke peke yako mkuu
DuhNjoo kwetu tucheke wote..
Leo nilikua nalinda amana getini peke yanguUmekua mtoro leo ila nashukuru umekuja kufunga lindo
Hahahaha, karibu mnamalizaLeo Ramadhani 2 au 3?
Wadau wamepambana mpaka imerudi bwana walinikazia turudishie avatar yetuNaona umerudisha avatar yko pendwa
NakuonaAsante napita tu narudi kulala
Nipo hapa na makufuli yangu ya chuma kutekeleza hilo jukumu kwa mujibu wa sheria, kanuni, na taratibu zilizowekwa.Muda wa kufunga lindo kwa mujibu wa kanuni na taratibu ndio huoo
Morning. Uwahi kwa mishemishe sasaWadau wamepambana mpaka imerudi bwana walinikazia turudishie avatar yetu
Àmen, nilikua naandaa somoElli Mshana Mzee Kijana wa maombi usitusahau kwenye maombi na sadaka pia.