Usilale mkuu, tusaidiane lindo nimeachiwa mwenyeweAsante napita tu narudi kulala
Usilale mkuu, tusaidiane lindo nimeachiwa mwenyeweAsante napita tu narudi kulala
Usingizi huu niliamka mara mojaUsilale mkuu, tusaidiane lindo nimeachiwa mwenyewe
Wa manane haswaaa
Wa manane haswaaa
Kabisa mkuu, tuanze kampeni ya kuwaamsha waje kufunga lindo

Namalizia kunywa maji hapa,Amkeni mle daku
Sent from my iPhone using Tapatalk
Morning dear MlinziUsilale mkuu, tusaidiane lindo nimeachiwa mwenyewe
MorningMorning dear Mlinzi
Ukajifukize sawa eeh!
Muda bado kidogoMorning
Karibu ufunge lindo
Muda wa kufunga lindo kwa mujibu wa kanuni na taratibu ndio huooMorning
Karibu ufunge lindo
Haswaaaa kujifukiza muhimu sana kwa sasaUkajifukize sawa eeh!
Umekua mtoro leo ila nashukuru umekuja kufunga lindoMuda wa kufunga lindo kwa mujibu wa kanuni na taratibu ndio huoo