Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,983
- 6,784
0000 finally our watch begins
Why do people care so much about title?
Mzee wangu huyo kwenye avatar yako ni sheriff Rango?0000 finally our watch begins
Kwani hatuwezi kuishi pasipo na hizi tabaka?Title matters bro kwa connection na mpunga.. chawa hakai pasipo na damu mzee wangu
Miss Anne.. upo njema
Utaweza kufika safari mpaka jogoo awike?

Kwani hatuwezi kuishi pasipo na hizi tabaka?
Siwezi.Utaweza kufika safari mpaka jogoo awike?
Uko poa lakini?
Mbona maandiko yanasema kwa Mungu sisi wote ni sawa?Mungu alituumba tukiwa tofauti hivyo uwezekano wa vitu kuwa sawa ni kama haupo...
JF hizi Ads zimeanza lini kwenye app huku![]()
😁😁😁aaaaha I kill all of them with one bulletMzee wangu huyo kwenye avatar yako ni sheriff Rango?
Mambo? Kesho nafuata mask zanguNapita...

Why do people care so much about title?
Mbona maandiko yanasema kwa Mungu sisi wote ni sawa?