Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
[emoji847][emoji847][emoji847]I have been well as you “Good
Yeah kidogo siyo sana
[emoji847][emoji847][emoji847]I have been well as you “Good
Yeah kidogo siyo sana
Na iwe rohoni mwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnafeli sana kumsikiliza simiss mwambie na leo atoe tamko lingine sasa muongo huyu unamsikikiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Always najua kesho namengi ya kukuuliza jiandae kwa majibu [emoji41]Nilijua tu..najiombea bwana hata hivyo usisahau kuniweka kwenye maombi ya matatizo yangu yaleee.
bwana amesema nami hiyo kiu yako anakwenda kuitimiza ,usizimie moyo bintiNa iwe rohoni mwako.
Hakikisha maswali yako yasiwe magumu.Always najua kesho namengi ya kukuuliza jiandae kwa majibu [emoji41]
Dah kweli nakiona kipaji chako sasa kimekuwa umekuwa kama mm uwongo kuugeuza kuwa ukweli saiz na ww unaweza [emoji23][emoji23][emoji23]Raia wanaelewa sifaidiki kutunga stories.. huu ni ukweli mtupu..
Mzima mzee
Halleluyah!!!bwana amesema nami hiyo kiu yako anakwenda kuitimiza ,usizimie moyo binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nyimbo siwezi sahau [emoji23][emoji23][emoji23] nilifanya balaa siku hiyo watu walibaki midomo wazi loh [emoji41]
Ndio yatakuwa hayo hayo sasa.Hakikisha maswali yako yasiwe magumu.
Dah kweli nakiona kipaji chako sasa kimekuwa umekuwa kama mm uwongo kuugeuza kuwa ukweli saiz na ww unaweza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kabisa mzee wangu watu walibaki midomo wazi nilitoa show moja matata sana alafu ndio ilikuwa siku yangu ya kwanza kuusikia sasa.Ulisahau kama ni gospel song ukamwaga uno ama
Jesus!! Usinifanyie ivyo..ila najua nitafanya Nini nashukuru kwa kunipa muongozo .Ndio yatakuwa hayo hayo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah na hii astagafulahh inahusika tena [emoji91] kweli kipaji kimekuwa [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] daaahh usiharibu CV.. huwa sishutumu mimi... astagafulahh
Acha uvivu usisubiri watu wakuombe jiombe na ww mwenye [emoji41]
Usiogope bhana tutatia story zetu tu zileJesus!! Usinifanyie ivyo..ila najua nitafanya Nini nashukuru kwa kunipa muongozo .
Amini kuna kitu kinaenda kutokea maishani mwako kitakachobadilisha maisha yakoHalleluyah!!!