JamiiForums Usiku wa manane
Unajua shida inakuja wapi Da Vinci ? Wanadamu huwa tunapenda kudanganyana sana kwamba wote ni wabunifu. Nakuhakikishia watu wabunifu duniani ni asilimia chache mno, wengi wetu tunakuwa na elimu na ufahamu lakini uwezo wa kubuni vitu ni Trait ambayo watu wachache sana wanayo.

Watu kama hawa hawaiangalii dunia kama ambavyo mimi na wewe tunaitazama huwa wanakuwa tofauti kabisa hata kitabia.
Kuna watu walijaliwa kwakweli. Hasa Da Vinci,Tesla,Newton,Socrates na Plato.
 
Back
Top Bottom