Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Anajua tu vizuri mm ni nani?Muombee tu, wakati mwingine mtu anachoka hata kuomba hawezi.. fanya hivyo fam
Anajua tu vizuri mm ni nani?Muombee tu, wakati mwingine mtu anachoka hata kuomba hawezi.. fanya hivyo fam
AhsanteMuombee tu, wakati mwingine mtu anachoka hata kuomba hawezi.. fanya hivyo fam
Ahsante sanaAmini kuna kitu kinaenda kutokea maishani mwako kitakachobadilisha maisha yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeoteshwa kuna Wana lindo watakuja kufunga ndoa baada ya lindo kuisha, Naendelea na maombi bado
Kinamalizia kuiva hapaNakuja kula huko Leo, umemaliza?
Ahsante
Ufunge ndio upate vinonoWallah naziona kufuru zako kabisa hizinitaanza kufunga na mm week ijayo.
😂😂 Unadhani nimeogopa Sasa ..haya baadaeUsiogope bhana tutatia story zetu tu zile
Anajua tu vizuri mm ni nani?
Kinamalizia kuiva hapa
Wahi kiliwe chamoto
Chinese style

Ndiyo mpendwaUnapenda kusikiliza gospel songs miss
Usinifanyie hivyo ujue nakuanchia tu hili 10 la kwanza la 2 nipo Jet hapo anadaa vituUfunge ndio upate vinono



Poa.Unadhani nimeogopa Sasa ..haya baadae
Anaachaje kuniombea kwa mfanoAu haujui hata mother ako huwa anakuombea kabla ya kulala na wakati mwingine unakoroma tu![]()

Ndiyo mpendwa