Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
NdiyoHulali leo au na wewe unasubiri daku kama mimi ?
Nilikuwa Nasubiri daku mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoHulali leo au na wewe unasubiri daku kama mimi ?
Haya baadae. Have a bright morning thenAya nakubali
NakumbukaHata mimi !!.. au umesahau nimekukumbusha kufanya yaliyo mema kwa mwezi huu mtukufu
same to youHaya baadae. Have a bright morning then
Nlilala.nanakiza kujibu nilizokua quoted after
Nawaangalia tuNani kawafungulia gate ilhali funguo nilikuwa nazo? Au mmeruka ukuta?
Maana uliachia nilifunge sasa hawa wadau wamepenyea wapi?Nawaangalia tu
Tulia wafike kwanza, usiwashtue kwanza watakimbiaMaana uliachia nilifunge sasa hawa wadau wamepenyea wapi?
Naona umeamua kuni uza hata kunipa mfano tu?