Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Mkuda kumekucha muda wa kazi
Mkuda kumekucha muda wa kazi
Vizuri sana hadi imepitiliza Aiseee. Dah
Weeee tuko wote hapa, leo hamna kutorokana hapa!; man to man leo
Ooh sorry mkuuVizuri sana hadi imepitiliza Aiseee. Dah
Mtakimbia wenyewe nipo hadi asubuhiWeeee tuko wote hapa, leo hamna kutorokana hapa!; man to man leo
Mie mzima m, upweke wa huku ugenini tu ndio wanamàliza
😂😂😂😂 sijui tukafanye wapi saiz maana safari hii ulininyoisha kweli.Mkuda kumekucha muda wa kazi
Aiseee nipo sana tu, ngoja tutafute ka topic kazuri ka usiku kwa ajili ya lindo
Asante...nasubiria mmalize ...Kama unavyojua kuomba kupokezana hadi kunakucha. Karibu kwenye maombi.
Unishikie mlango kama sio kiti.Dah utatukuta tunaishia kuingia mbinguni
Upo mkoa gani huko ? Pole na upwekeMie mzima m, upweke wa huku ugenini tu ndio wanamàliza
Wewe kila siku ugenini? Huna kwenu? Endelea kutafuta mkate lakini.Mie mzima m, upweke wa huku ugenini tu ndio wanamàliza
Kweli mkuu usiku mrefuAiseee nipo sana tu, ngoja tutafute ka topic kazuri ka usiku kwa ajili ya lindo
Namaliza mwezi wa pili ndugu yangu sijaiona familia. Mkate ndio watafutwa.Wewe kila siku ugenini? Huna kwenu? Endelea kutafuta mkate lakini.
Nilikua Mbeya, sasa Niko Songea
Hahahaha ndio uwepo sasaUnishikie mlango kama sio kiti.
Pambana...Mungu ni mwema.Namaliza mwezi wa pili ndugu yangu sijaiona familia. Mkate ndio watafutwa.