JamiiForums Usiku wa manane
WEEKEND'S TOP TEN
1. Seal - Love's Divine


2. Boys to men - Dreams


3. Ziggy Marley - Drive


4. Jordan Smith - Only Love


5. Lighthouse Family - High


6. Ellie Goulding - My Blood


7. Jason Mraz - Hey, you beautiful thing


8. Dido - White Flag


9. Mary J Blige - Be without you


10. Case - Missing You
 
Inategemeana japo mara nyingi huwa wanakuwa hivyo. Sababu kuu siyo kwamba wanakuwa ni wajinga, bali wanahisi kama wanapoteza muda kusoma. Unajua elimu ina raha yake lakini pia ina madhara yake pia hasa pale ambapo inatumika kutekeleza malengo la kisiasa zaidi ya kuwaendeleza watu kwa kuangalia uwezo wao kama inavyotarajiwa: Inakuwa imejaa mifumo ya kipumbavu kama ulazima wa kutumia Rejea za watu waliopita.

Lakini amini nakwambia watu wenye akili nyingi sana huwa hata darasani wanakuwa n uwezo mzuri kama nchi itakuwa na mfumo mzuri wa elimu na walimu wazuri. Hapa watafaulu sanaaaa.......

Ahaaa nimekupata Mkuu,
Tutasomana Kesho panapo majariwa
 
downloadfile-1.jpg
downloadfile-1.jpg

Saa 0329,Jiko limenishinda kuzima jamani msaada: No Escape mimi hivi hili jiko mnazimaje jamani naadhirika huku mwenzenu!
 
Back
Top Bottom