Chai yetu ya Asubuhi inasema hivi
A scar does not form on the dying, a scar means I survived.
Wapendwa wana lindo, maisha yametujeruhi mara nyingi sana, marafiki na Wapenzi tuliowaamini wametuumiza na kutuachia makovu na majeraha mengi sana, dissatisfaction and disappointments zimetuumiza sana.
Lakini mahali Fulani wakati Fulani tuliweza kuyaponya au yalijiponya yenyewe majeraha hayo na kuacha makovu.
Huenda makovu hayo yamekuwekea kumbukumbu mbaya isiyoweza kufutika, isiyoweza kubadilika, imekufanya vile ulivyo leo! I want to tell you this morning that, you won that race, you didn't give up ndio maana leo upo.
Acha hilo kovu liwe "catalyst" ya kukuongezea nguvu zaidi, acha hilo kovu liwe baraka badala ya laana. You are strong than you can ever imagine. Let it go.
Niwatakie siku njema.
Mzee wa Lindo
Elli