Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Nakuja nisubirie pale kituoni kwetu [emoji4]Njoo unikanyage uone.
Nakuja nisubirie pale kituoni kwetu [emoji4]Njoo unikanyage uone.
Anamzungumzia character. Stan ni creator wa hao charactersNa Stan Lee?
Namshukuru Mungu inaendelea vizuri, Pandemic imetufanya tutulie sana nyumbani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anavoice sexy kwahyo unaenda jisexisha na ww
Yeah, yupo mtoto wa Reed Richards Mr Fantastic, anaitwa Franklin Richards, Jean Grey hafanyi lolote.Hivi unadhani kuna Mutant mwingine anayeweza kumpiga Jean Grey..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaharibu !!Alaaa
Yani hii campaign yako bado ujaacha toka jana unataka kunitenganisha na Goddess subira snap zako mzee ulie [emoji23][emoji23][emoji23]Gody bado hujaelewa tu .. nilikuambia mwezi huu kampani mbaya uache. Super Villain ni bad news [emoji4]
😀😀Utamkuta dogo anakusubiriNakuja nisubirie pale kituoni kwetu [emoji4]
Kamanda usiwile tuko pamoja.Afu brother ulitumix followers. Nilizoea ML
Jamaa kaondoka na marvel yake Stan Lee rest easy [emoji120]
This is one of the best songs, hebu sikiliza.
Eee bwana eeeh hapa ndipo napo kukubali mdogo wangu. Huyu mwamba nilikuwa namsikiliza sana zamani. Uko broad sana..
[emoji23][emoji23][emoji23] Sema kama umeanza ile michezo ngoja nikuite Drizzle saiz.[emoji23][emoji23] hapana.
Mara nyingine kuna zile sauti zinaongea na roho directly. So kimahaba tony anaongea na mimi yaani
[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna shida ndio niko njiani hivyo[emoji3][emoji3]Utamkuta dogo anakusubiri
Jamaa kaondoka na marvel yake Stan Lee rest easy [emoji120]
Kamanda usiwile tuko pamoja.
Naongelea fictional characters wa kwenye Marvel Comics mkuu. Matukio mengi ya kwenye X-Men yeye ndiyo chanzo na nadhani watakuja kumuweka huko mbeleni pamoja na Farouq.Na Stan Lee?
😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna shida ndio niko njiani hivyo
Stan alikuwa ni kila kitu Marvel lazima wayumbe saiz kidogo.Wazungu hawako hivo mkuu. Kila kitu kipo documented..hata akifa lazima iendelee. Kwani Jack Kirby na Steve ditko mbona wamekufa kitambo akabaki Stan na ngoma likaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app