JamiiForums Usiku wa manane
Leo muamke na hii motivational quote " Enjoy life now, this is not rehearsal " kwahio have a plan for yourself, talk to a friend, laugh if you feel like... Do whatever makes you Happy! Ila kama ni pombe basi drink responsibly. Kama una mtu unampenda, mwambie before it is too late, usije ukaishi na hili Neno "ninge" au "I wish". Do it today, there is no right time, wakati sahihi ni sasa, do it today.

Kwa wale wapenda kusafiri kama mimi, Fanya hivyo, you never know what tomorrow may bring, could be sorrow na regrets, nani anajua? Embrace it today..

Kama una penda picha ukiwa huko uliko basi piga picha sio za utupu Lakini, just for a memory. Do it today, so when yesterday is gone forever unakua na kitu cha kuikumbusha kesho yako. Stay blessed wana lindo watiifu

Shukrani brother
 
Umenena vyema asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio boss
Hivi na wewe zipo Kama zangu?
Naomba nione

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo kama za huyu crush
yungbeyt-20200424-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom