Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,983
- 6,784
Ngoja karib wanakuja tu utawaona wanako tokea 😁😁😁Muda wa kukabidhi unakaribia
Ngoja karib wanakuja tu utawaona wanako tokea 😁😁😁Muda wa kukabidhi unakaribia
Soon tutakuwa member humuKesho naanza na Super Villain ilitakiwa ndio aludishe funguo
Karib mkula
Nawaona mnataka kutoroka lindo, nawacheki tuKesho naanza na Super Villain ilitakiwa ndio aludishe funguo
Mpak tukabizi funguo kamanda 😁😁😁Nawaona mnataka kutoroka lindo, nawacheki tu
Muamshe usimuache alale...Muda wa sala huuLoneliness wanna kill me oneday! Huyu mchaga nae amelala tu
😂😂😂😂Itabidi tujuike kilingeni Hapa karib ghahawaLoneliness wanna kill me oneday! Huyu mchaga nae amelala tu
Nasikiliza Gospel laini hapa naisubiria maombi muda mfupi ujao.
Nimeshtua na kikombe cha tangawizi ilibaki Jana, dah inakwangua huko tumboni utadhani nimekunywa sanitizer aiseee😂😂😂😂Itabidi tujuike kilingeni Hapa karib ghahawa
Usisahau kujifukiza nyingine si unajua tamko la mkuu ni order😂😂😁Nimeshtua na kikombe cha tangawizi ilibaki Jana, dah inakwangua huko tumboni utadhani nimekunywa sanitizer aiseee
Safi sana...Morning Glory inaanza muda gani??Nasikiliza Gospel laini hapa naisubiria maombi muda mfupi ujao.
#NowPlaying - Upendo FM on @TuneIn Radio! Listen to Upendo FM on TuneIn
Na kwenye maombi asisahau kukemea corona 😎😎
Niko huku Madaba Songea nimefika Jana, huku wanafukiza na tangawizi... Huyu corona nadhani atajuta kuingia bongo.Usisahau kujifukiza nyingine si unajua tamko la mkuu ni order😂😂😁
Saa 12 kamili.
Nitumieni na sadaka kabisa aiseeeNa kwenye maombi asisahau kukemea corona 😎😎
😂😂😂😂Naleta mkuuNitumieni na sadaka kabisa aiseee