Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
Pole sanaHuyu dada hajui kuimba basi tu sijawahi kumuelewa kabisa.
Pole sanaHuyu dada hajui kuimba basi tu sijawahi kumuelewa kabisa.
umetisha, mgeni anakaribishwa sahiz?Leo kitanda nimeamishia sebuleni hapa hakuna kulala.
Hizo zitaleta joto tu nitatumia zangu zipo more comfortable.Au hujazipenda au nikutengenezee za pamba?
Umenikalisha hadi sahivi na hela nisipate kumbuka zamu yangu iliisha 1:30 ila poa tuYani offer ya supu unanijaza mpaka 5000 we mwanamke sio wa mchezo mchezo
![]()
Ili baadaye uamke saa ngapi? Kalale
@simiss jamaa yako anakuponda pande hiiHana maajabu hayo huyo![]()
Usingizi mnonoNilikuwepo...
Ya nn tena wakati mm simuelewi kabisa anachokiimba.Pole sana
Asali yenyewe ndo hiyo😋😋😋 we unafikiri ni kitu gani kinafuata utamu wa asali katika maisha🤣🤣Aaaah kumbe ndio iyo asali bac hata mm nimesha ilamba nilikuwa sijui 😂😂😂🤣
Inasikitisha sana
uote unaendelea kuchati hukuUsingizi mnono
Unadhani nitakunywa kweli! Namvuta vuta anipe hicho kihela nikitie kwenye pochi...Si anajifanya mwema sanaUnakulaje kwato za wanyama? Njoo huku upate vile vitu pendwa na laini laini.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk