chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Subiria kidogo tuondoke woteYaan. ...
Nasepa soon [emoji125][emoji125]
Subiria kidogo tuondoke woteYaan. ...
Nasepa soon [emoji125][emoji125]
Halafu unamaliza na pokito a pokoHuez jua labda umelitoa kwenye movie zao
Mbona hata mimi mpori pori najua sema gracias
😂😂😂😂😂😂😂Hilo usijali kabisa na gloves za satini nimetengeneza ukizipenda ubebe tu
BADO mapema sanaYaan. ...
Nasepa soon 🏃🏃
Pepsi tena [emoji15] usijali nakuombea ukutane na mbwana Pepsi atakulipia hilo usiwaze kabisa nitaongeza hapo 1000 upate chapati.Dah! Sa hata ya supu inatosha nini jamani hapo sijala chapati na kapepsi kakushushia[emoji54]
sana yani kama mopyo wa kuvumilia umaskini wakati tumezaliwa katika nchi ya asali na maziwa 😄 😄 😄Yaap sana inaitaji moyo mgumu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kubali mama hivyo hivyo wala hakuna ubaya.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Nishaanza kupack vifurushi vyanguSubiria kidogo tuondoke wote
Si uanajua atakisanuaSijacheza foul kabisa leo kwa huyo mzee.
Gloves ninazo box 2 wala usiwaze.Hilo usijali kabisa na gloves za satini nimetengeneza ukizipenda ubebe tu
zimekuwaje tena mamalaoHizi notification hizi 😃😃
Haha sawa Smart
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mshaanza kunitafuta sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Zinamiminika kama "mana"zimekuwaje tena mamalao
Hana maajabu hayo huyo [emoji23]Si uanajua atakisanua
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Jamaa anajihami. Unaifahamu kotapini?Mzee nguvu sina
Hapana wala mimi sio mchoyo hivyo...kizuri kula na nduguyo....Mpe salamu zangu ila najua tu umenibania
Na wewe wazitaka 500 tu niunge mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]