Kila siku nasikiaga kelele zako kuwa nimelala mm na simiss sasa leo nipo mpaka asubuhi.Huku kwangu
Hivi upo serious? 😂😂Na wewe wazitaka 500 tu niunge mkono
Kila rangi ipo![]()
Apo kwenye mana ndo sijapaelewa kabisa yaani,ukiniambia manake nitakuwa nimeongeza msamiati mpya leo sijakesha bureZinamiminika kama "mana"
Hata kwenye UE sikuwahi kutoboaKila siku nasikiaga kelele zako kuwa nimelala mm na simiss sasa leo nipo mpaka asubuhi.
Ongeza Ongeza ifike 5000 nadaiwa hela ya mchezo mwenzio hata hiyo supu sitoinywaPepsi tenausijali nakuombea ukutane na mbwana Pepsi atakulipia hilo usiwaze kabisa nitaongeza hapo 1000 upate chapati.
hii kali,yani kwamaba hadi tuone mwamba au sio?Kila siku nasikiaga kelele zako kuwa nimelala mm na simiss sasa leo nipo mpaka asubuhi.
Iyo asali sijui waga wanailamba akinanani maana nasikiaga ni nyingi sana 🤔🤔🤔sana yani kama mopyo wa kuvumilia umaskini wakati tumezaliwa katika nchi ya asali na maziwa 😄 😄 😄
😂😂😂😂😂 turn on notification
Lete maandishi ya Kichina hayo kabla ujatia maji usiku huuMbona mambo ya Pepsi tena. Au nilete ukoko uliobaki?

Mbona kulamba lamba tena ..Iyo asali sijui waga wanailamba akinanani maana nasikiaga ni nyingi sana 🤔🤔🤔
Ngoja nipack tuondoke macho naona yanaanza kuwashaNishaanza kupack vifurushi vyangu
Leo basi utatoboaHata kwenye UE sikuwahi kutoboa
😄😄😄😄Lete maandishi ya Kichina hayo kabla ujatia maji usiku huu![]()
Hiyo ndio inakufaa mzee babaMbona naona kama unaleta utapeli sasa bibie.
Mkuu ni mwendo wa kulamba tu 😋😋Mbona kulamba lamba tena ..
Au hujazipenda au nikutengenezee za pamba?Gloves ninazo box 2 wala usiwaze.